Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amefungua Kiwanda Cha Sabuni "Zanzibar Handmade Cosmetics "Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kikifungua Kiwanda cha Sabuni cha "Zanzibar Handmade Cosmetics" kilichoko Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwa Rais) Mmiliki wa Kiwanda hicho Bi. Shekha Nasser, uzinduzi huo umefanyika katika viwanja vya Kiwanda hicho Maruhubi Maeneo Huru ya Uchumi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kukifungua Kiwanda cha Sabuni cha "Zanzibar Handmade Cosmetics " na (kushoto kwa Rais) Mke waRais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi  na (kulia kwa Rais) Mmiliki wa Kiwanda hicho Bi.Shekha Nasser, ikiwa shamrashamra za kusherehekea Mwaka mmoja wa Uongozi wake,uzinduzi huo umefanyika katika viwanja vya Kiwanda hicho Maruhubi Maeneo Huru ya Uchumi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marian Mwinyi wakipata maelezo ya Sabuni ya aina mbalimbali zinazotengenezwa na Kiwanda cha Sabuni cha "Zanzibar Handmade Cosmetics " baada ya kukifungua wakipata maelezo kutoka kwa Muwekezaji Mzanzibar Bi.Shekha Nasser, wakati akitembelea kiwanda hicho kilioko katika eneo la Maeneo Huru Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Mwaka Mmoja wa Uongozi wake Zanzibar.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Muwekezaji wa Kiwanda cha Sabuni cha "Zanzibar Handmade Cosmetics " Bi. Shekha Nasser, baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa kiwanda cha sabuni cha "Zanzibar Handmade Cosmetics" Maruhubi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi baada ya kukifungua Kiwanda cha Sabuni cha "Zanzibar Handmade Cosmetics" Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.