Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Madarasa katika Shule ya Sekondari Kayuki Tukuyu.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari ya Wasichana Kayuki  ya Tukuyu Mkoani Mbeya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa madarasa manne shuleni hapo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa madarsa manne katika Shule ya. Sekondari ya Wasichana Kayuki ya Tukuyu Mkoani Mbeya Novemba 27, 2021. Kulia ni Mkewe Mama Mary Majaliwa, Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mbeya Mchungaji Jacob Mwakasole, wa tatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbya, Juma Homela na wa pili kulia ni Mbunge wa Rungwe Mashariki, Anthony Mwkatona.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanafunzi, Walimu na wananchi baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa vyumba vya madarasa manne katika Shule ya Sikondari ya Wasichana Kayuki ya Tukuyu mkoani Mbeya
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Kayuki ya Tukuyu Mkoani Mbeya wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa vyumba vya madarasa manne shuleni hapo
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Kayuki ya Tukuyu Mkoani Mbeya wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa vyumba vya madarasa manne shuleni hapo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanafunzi, Walimu na wananchi baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa vyumba vya madarasa manne katika Shule ya Sikondari ya Wasichana Kayuki ya Tukuyu mkoani Mbeya, Novemba 27, 2021.

 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.