Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Ursula von der Leyen, Brussels nchini Ubelgiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Ursula von der Leyen, Brussels nchini Ubelgiji leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Ursula von der Leyen, Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 18 Februari, 2022.  

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.