Habari za Punde

Mhe. Rais Samia akutana na ujumbe Maalum wa Mfalme wa Saudi Arabia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Mfalme wa Saudia Arabia, Mhe. Ahmed Abdulaziz Kattan mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Mfalme wa Saudia Arabia, Mhe. Ahmed Abdulazizi Kattan mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Machi, 2022
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.