Habari za Punde

Mhe. Rais Samia azindua mradi wa maji Chalinze, Pwani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiondoa Kitambaa kuzindua mradi wa maji wa Mlandizi-Chalinze-Mboga katika tukio lililofanyika Chalinze mkoani Pwani leo tarehe 22 Machi 2022.

Mtambo Mpya wa Maji Mlandizi-Chalinze-Mboga.
Baadhi ya viongozi na viongozi wa dini wa mkoa wa Pwani wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alipokua akizungumza nao kwenye Mkutano baada ya kuzindua mradi wa maji wa Mlandizi-Chalinze-Mboga katika tukio lililofanyika Chalinze mkoani Pwani leo tarehe 22 Machi 2022.
Wananchi wa mkoa wa Pwani wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alipokua akizungumza nao kwenye Mkutano baada ya kuzindua mradi wa maji wa Mlandizi-Chalinze-Mboga katika tukio lililofanyika Chalinze mkoani Pwani leo tarehe 22 Machi 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani katika Mkutano uliofanyika Viwanja vya Polisi Chalinze Mkoani Pwani mara baada ya kuzindua mradi wa maji wa Mlandizi-Chalinze-Mboga leo tarehe 22 Machi 2022.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.