Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe, Ali Abdulgulam Hussein, akitia saini Kitabu cha Wageni cha Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), wakati alipotembelea Banda la Taasisi hiyo, katika Maonyesho ya Nactevet yanayoendelea Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe, Ali Abdulgulam Hussein akizungumza jambo, wakati alipotembelea Banda la Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), katika Maonyesho ya Nactevet yanayoendelea Jijini Dodoma.
Muwakilishi wa Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Ali M. Suleiman akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe, Ali Abdulgulam Hussein, wakati alipotembelea Banda la Taasisi hiyo, katika Maonyesho ya Nactevet yanayoendelea Jijini Dodoma.
Picha na Maryam Kidiko.
No comments:
Post a Comment