WASHIRIKI wa Wadau wa Utalii Zanzibar wakiwa
katika mkutano huo uliandaliwa na benki ya CRDB na kufanyika katika Hoteli ya
Golden tulip Uwanja wa ndege Zanzibar
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwa katika mkutano uliofanyika katika Hoteli ya Golden tulip Uwanja wa ndege Zanzibar
MENEJA wa Benki ya CRDB kanda ya Mashariki, Badru Idd akitoa maelezo kwa wadau wa utalii katika mkutano ulioandaliwa na benki hiyo na kufanyika katika hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa ndege Zanzibar.
MKUU wa Kitengo cha Kadi katika Benki ya CRDB, Farid Seif akitoa maelezo ya ufunguzi katika mkutano wa wadau wa Utalii Zanzibar, katika mkutano ulioandaliwa na benki hiyo na kufanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa ndege Zanzibar.
WAZIRI wa Utalii na mambo ya kale, Simai
Mohammed Said akifungua mkutano wa wadau wa utalii na benki ya CRDB kuhusu
malipo ya kielektroniki uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa
ndege Zanzibar
MENEJA Mwandamizi wa Biashara za malipo ya Kielektroniki katika Benki ya
CRDB, Victor Makere akitoa mada katika mkutano wa wadau wa Utalii Zanzibar,
uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip uwanja wa ndege Zanzibar.
No comments:
Post a Comment