Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi katika Mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)

Viongozi mbali mbali wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Hutuba yake katika sherehe za  mahfali ya kumi na nane (18) ya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA yaliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu  Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu] 28 disemba 2022.
 Wahitimu waliotunukiwa  Stashahada ya teknolojia ya  Habari na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo  katika sherehe za  mahfali ya kumi na nane (18) ya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA yaliyofanyika   katika ukumbi wa mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu  Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu] 28 disemba 2022.
Wahitimu wa Stashahada ya Tehama na Uhasibu "Diploma in Information Technology with Accounting" kwa mwaka wa masomo 2021/2022 walipotunukiwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo  katika sherehe za  mahfali ya kumi na nane (18) ya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA yaliyofanyika   katika ukumbi wa mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu  Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu] 28 disemba 2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mwanafunzi bora wa Cheti cha Sayansi ya Kompyuta 2021/2022 pamoja na Fedha Laki mbili Hisham Mdungi Makame  katika sherehe za  mahfali ya kumi na nane (18) ya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA yaliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu  Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu] 28 disemba 2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mwanafunzi bora wa  Stashahada ya Afisa Tabibu 2021/2022 pamoja na Fedha Laki tatu Ummul-Khayr Sadri Adulla  katika sherehe za  mahfali ya kumi na nane (18) ya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA yaliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu  Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu] 28 disemba 2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mwanafunzi bora wa  Shahada ya Afya na Mazingira  2021/2022 pamoja na Fedha Laki tano Rainhulf G.Mfuse katika sherehe za  mahfali ya kumi na nane (18) ya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA yaliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu  Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu] 28 disemba 2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Viongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA wakiingia katika ukumbi wa mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu katika  sherehe za mahfali ya kumi na nane (18) yaliyofanyika leo  Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu] 28 disemba 2022.

Baadhi ya wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano wakati wa sherehe za Mahfali ya kumi na Nane 18 yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya  Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Dk.Hussein Ali Mwinyi.[Picha na Ikulu] 28 disemba 2022.


Viongozi mbali mbali wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Hutuba yake katika sherehe za  mahfali ya kumi na nane (18) ya Chuo Kikuu cha Taifa SUZA yaliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu  Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu] 28 disemba 2022.



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) mahafali hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 28-12-2022.(Picha na Ikulu)
WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu  wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 28-12-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwatunuku wahitimu wa Shahada ya Usimamizi wa Teknolojia ya Habari yaani  “Bachelor Degree of Information Technology Application and Management” wakati wa hafla ya Mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 28-12-2022 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Leila Mohammed Mussa.(Picha na Ikulu)
WAHITIMU wa Cheti cha Uongozi wa Fedha yaani ”Certificate in Financial Administration” wakishangia baada ya kutunukiwa Cheti katika Mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 28-112-2022.(Picha na Ikulu)
WAHITIMU wa Shahada ya Utabibu yaani “ Doctor of Medicine” Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakila kiapo cha Utii na Uadilifu wa kazi yao, baada ya kutunukiwa Shahada ya Utabibu na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika Mahafali ya 18 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 28-12-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimtunuku Shahada ya Uzamivu ya Kiswahili  yaani” Doctor of Philosophy in Kiswahili” Nunuu Abdalla Mohammed, wakati wa hafla ya Mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 28-12-2022.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.