Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akiwasilisha taarifa ya nusu mwaka ya
utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Viwanda, Biashara, Mazingira na Uwekezaji katika Ofisi za Bunge jijini
Dodoma leo Januari 17, 2023.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Mazingira
na Uwekezaji Mhe. David Kihenzile akiongoza kikao cha kupokea taarifa ya nusu
mwaka ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais katika Ofisi za
Bunge jijini Dodoma
Sehemu ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara,
Mazingira na Uwekezaji na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (waliokaa nyuma)
wakifuatilia kikao cha kupokea taarifa ya nusu mwaka ya utekelezaji wa majukumu
ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara,
Mazingira na Uwekezaji katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma
Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira
(NEMC) Dkt. Samuel Gwamaka akitoa ufafanuzi wa hoja wakati wa kikao cha kupokea
taarifa ya nusu mwaka ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Mazingira na Uwekezaji katika
Ofisi za Bunge jijini Dodoma leo
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi akifafanua jambo wakati wa kikao cha kupokea taarifa ya nusu mwaka ya
utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Viwanda, Biashara, Mazingira na Uwekezaji katika Ofisi za Bunge jijini
Dodoma leo
No comments:
Post a Comment