Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Amekutana na Viongozi wa Kampuni ya APM Terminal ya Denmark

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Balozi wa Denmark nchini, Mhe. Matte Norgaad Spandet  ambaye aliambatana na ujumbe wa viongozi wa Kampuni ya APM Teminal ya nchini Denmark uliokutana na Waziri Mkuu,  ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Mjaliwa akikabidhi zawadi ya picha ya Simba kwa Bw.  Pietea Bas Bredius  kutoka kampuni ya  APM Terminal ya nchini Denmark baada ya mazungumzo na viongozi wa kampuni hiyo , ofisni kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Februari 7, 20223. Wa pili kushoto ni Martijin van Dongeni ambaye ni Mkuu kampuni hiyo, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo nchini Tanzania, Burundi na Rwanda Yda Taljaard na kulia ni Balozi wa Denmark nchini, Mhe. Mette Norgaad  Spandet
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na  ujumbe kutoka  kampuni ya  APM Teminal ya Denmark ulioambatana na Balozi wa nchi hiyo nchini, Mhe. Mettee Norgaad Spandat (wa tatu kulia) baada ya mazungumzo, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Februari 7, 2023. Wengine kutoka kushotoi ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo nchini Tanzania, Burundi na Rwanda, Yda Taljaard, Bw. Pietea  Bas Bredius, Mkuu wa  kampuni hiyo, Martijin van Dongeni (wa pili kushoto) na kulia ni Oscar Mkwale kutoka  Ubalozi wa Denmark nchini.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Denmark Nchini Tanzania Mhe.Mettee Norgaad Spandat, baada ya kumalizika kwa mazungumzo na ujumbe kutoka  kampuni ya  APM Teminal ya Denmark, yaliyofanyika katika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.