Habari za Punde

Waziri Soraga afungua kikao cha wadau wasekta ya uwekezaji wa viwanda Zanzibar

Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Mh. Mudrik Ramadhan Soraga (mwenye tai) akifungua kikao cha wadau mbalimbali wa Sekta ya uwekezaji wa viwanda Zanzibar.

Kikao hicho kimezungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili wawekezaji hao na namna bora ya kutatua changamoto hizo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.