Habari za Punde

Michuano wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024 Kati ya Yanga na KVZ Hakuna Mbabe Matokeo Sare ya 0-0

Mchezaji wa Timu ya Yanga akimpita beki wa Timu ya KVZ, katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024  mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar.Timu hizo zimetoka sara ya bila kufungana 0-0.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.