Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation Bi. Alice Albright kabla ya kuanza kwa mazungumzo yaliyolenga kukuza na kuimarisha mahusiano leo tarehe 30 Oktoba 2024, Des Moines, Iowa nchini Marekani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Mtendaji Mkuu wa
Millenium Challenge Corporation Bi.
Alice Albright ambapo mazungumzo hayo yalijikita katika kukuza na kuimarisha
mahusiano baina ya pande mbili hizo, leo tarehe 30 Oktoba 2024, Des Moines,
Iowa nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment