Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo pamoja na Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda kwenye Kikao maalum cha maandalizi ya
Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini
mwa Afrika (SADC) leo tarehe 12 Novemba, 2024 Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar.
UDAHILI WA WANAFUNZI WA TIBA KUONGEZEKA MARA TATU CHUO CHA MUHAS KUPITIA
MRADI WA HEET
-
Makamu Mkuu wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili ( MUHAS) Prof.
Appolinary Kamuhabwa, akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 27,2025
D...
1 hour ago


.jpg)
No comments:
Post a Comment