Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na
Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu
Masuala Nishati katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
(JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Januari, 2025.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na
kuzungumza na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye kando ya Mkutano wa
Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Masuala Nishati katika Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Januari,
2025.
No comments:
Post a Comment