RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Masheikh mbalimbali wa
Zanzibar, waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia na kutowa
mkono wa Eid Al Fitry, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 31-3-2025, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Fitry
iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia na kutowa Mkono wa Eid Al Fitry kwa Bi.Khadija Khamis, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-3-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa Mkono wa Eid Al Fitry kwa Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-3-2025, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Fitry, iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kupokea mkono wa Eid Al Fitry leo 31-3-2025, baada ya kumalizika kwa Mfingo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Sala ya Eid Al Fitry iliyofanyika leo 31-3-2025 katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja
WANANCHI waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kupokea mkono wa Eid Al Fitry, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-3-2025, walipofika kupokea mkono wa Eid.
No comments:
Post a Comment