Habari za Punde

FUTURE COMPANY YAWASHUKURU WALIOCHANGIA ZANZIBAR HEROES

 Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Future Century, Hellen Masanja akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa New Africa Hotel a es salaam jana ambapo aliwashukuru wadau wote kwa kuichangia Zanzibar Heroes kiasi cha sh.86,844,000/.


.
Mkurugenzi wa masoko wa Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ) Said M.Said (kulia) akiongea na wandishi wa habari kwenye kumbi wa New Africa Hotel mjini Dar es salaam kikao kilichoitishwa  na kampuni ya Future Century kutoa shukrani kwa wale wote walioitokeza kuchangia timu ya Zanzibar Heroes kwenye chakula cha usiku kilichofanyika Zanzibar Beach Resort hivi karibuni na kupatikana sh.86,844,000/. Kulia kwake ni Mwenyekiti Mtendaji wa Future Century, Hellen Massanja

Picha na Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.