UJENZI wa Barabara ya Mpya ya Amani Dunga ukipamba moto ujenzi wake, hili ni eneo la Welezo likiwa katika uwekaji wa kifusi.
UIMARISHAJI wa Miundombinu ya Barabara katika maeneo ya Mji wa Zanzibar yanavyoshamiri na Ujenzi wake ikionekana moja ya ujenzi huo ukiendelea katika eneo la Msikiti Makufuli likiwa taya limeshawekwa kifusi cha awali.
No comments:
Post a Comment