Rais wa Zanzibarr na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,katika mkutano uliojadili mambo ya utekelezaji wa majukumu ya wizara hiyo ambayo yataweza kukuza uchumi wetu na kuwaletea maendeleo wananchi,(kushoto) ni Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,akiwa katika mfululizo wa ratiba zake za kuzungumza na kila Wizara, katika kuhakikisha kila taasisi za wizara hiyo zinatekeleza majukumu yake.
Picha na Ramadhan Othman
No comments:
Post a Comment