Habari za Punde

Mchezo na Kuku Huuoooo

 Mdau katika matembezi yangu ya hapa na pale mitaani ili kutafuta matukio kwa ajili ya jamii sehemu za mitaa ya uswahili, nilikutana na kijana huyu akiwa katika mchezo na kuku wake aina ya jogoo likiwa na afya njema mashaaAllah. 

Ilibidi nisimame na kujuwa kulikoni mambo haya ya Mtu kucheza na kuku na kuku huyu kufuata amri ya mfugaji wake kijana Khalid Abdalla, na kufahamu jina lake na kulijua anapoitwa Chicken huja mbio na kucheza nae, ilibidi kumuuliza kulikoni mambo haya, na kueleza haya mafunzo nimemfunza sasa karibu miaka miwili sasa.

Amesema wanyama hufanya vili mtu anavyomfunza kuanzia mdogo mpika kukuwa kwake,   


3 comments:

  1. hapa nimeona show ambayo sikufikiria baada ya muda Khalid atakuwa msanii.

    ReplyDelete
  2. Duuu hii kali mdau si bora awe anafanya show kama vile Chicken George

    ReplyDelete
  3. Kabla hujapost tafadhali ufanye review, makosa mengi ya spelling.

    Kuna habari muhimu kwa ZNZ wiki nzima sasa, kuna wanahabari from Dar na kwengine wanafuatilia kwa ukaribu. Kwako wewe sio issue! Then unapita mitaani kwa story za jogoo.

    Wadau majority ni wa nje ya nchi, wanapenda kujua mambo muhimu ya nyumbani.
    Badilika tafadhali.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.