Vijana wa timu ya Wasafi wakiwa na mtama wao mpya baada ya kukabidhiwa na Mwakilishi wao ili kudumisha michezo katika Jimbo lao.na kuibua vipaji kwa vijana wa jimbo hilo.
Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Nassor Salim, akimkabidhi Fedha Kiongozi wa Kikundi cha Mazingira cha Nia Njema Msimamo cha mtaa wa MakadaraHussein Omar. akipokea fedha hizo kwa ajili ya kikundi chao kiimarisha usafi wa mazingira ikiwa ni moja ya ajira kwa vijana wa mtaa huo..
Wachezaji wa timu ya Wasafi ya Makadara wakifuatilia makabidhiano ya Jezi zilizotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo.kwa timu yao inayoshiligi ya Central., makabidhiano hayo yamefanyika tawi la CCM Makadara,
No comments:
Post a Comment