Habari za Punde

Balozi Seif akabidhi Gari Jumuiya ya Ijitimai Zanzibar

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa na Viongozi wa Jumuiya ya Fiy Sabillilah Tablih Markazi ya Fuoni wakitafakari jambo kabla ya kuwakabidhi msaada wa Gari kwa ajili ya Harakati zao za Daawa.
Mwanzo ni Katibu wa Jumuiya Hiyo Sheikh Mwalimu Hafidh Jabu na Kati kati ni Mwenyekiti wake Sheikh Ali Khamis.


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Fiy Sabillilah Tablih Markazi ya Fuoni   Ijitimai Sheikh Ali Khamis akiijaribu gari waliyopewa msaada na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif kwa kushirikiana na wafadhli pamoja na Familia yake.makabidhiano hayo yamefanyika Ofisini kwake Vuga.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.