TPDC YADHAMINI BONANZA LA MICHEZO NA UPIMAJI WA AFYA BURE -SONGOSONGO
-
Songosongo, Kilwa — Oktoba 25, 2025
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeendelea kudhihirisha
dhamira yake yakuimarisha mahusiano na jamii k...
46 minutes ago

ucha mungu haupo kwenye kuvaa kofia na kanzu , majambazi na madhalimu watakuwa hivyo hivyo hata wafanye nini ,ucha mungu umo katika kuhakikisha kila mmoja ana haki sawa na mwengine , kwa hivi vipicha vyenu mnafikiri mtawahadaa waisilamu wa znz na tanganyika? labda wale wanaokula makombo yenu
ReplyDelete