Habari za Punde

CCM kukta Rufaa dhidi ya Hukumu ya Kesi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Chama Cha Mapinduzi kimetafakari hukumu ya kesi ya uchaguzi iliyotolewa jana Agosti 21, 2012 na Mahakama Kuu kanda ya Tabora
.
Kimejiridhisha na kufanya uamuzi wa kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kesi ya uchaguzi, dhidi ya Mbunge wa jimbo la Igunga mkoani Tabora Dokta Dalaly Peter Kafumu.
Kusudio hilo linatokana na kutoridhishwa na hukumu hiyo.

Imetolewa na;-

Nape Nnauye
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM
WA
ITIKADI NA UENEZI
22/08/2012

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.