Habari za Punde

Dk.Salimin Amour Akibidhiwa Shahada ya Uzamini (PHD)

 MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Prof.Idris Ahmada Rai (kushoto) akimkabidhi shahada ya uzamivu (PHD)  ya Heshima ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar.Rais mstaafu wa awamu ya tano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk.Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani mjini Zanzibar
 MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Prof.Idris Ahmada Rai (kushoto) akimkabidhi shahada ya uzamivu (PHD)  ya Heshima ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar.Rais mstaafu wa awamu ya tano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk.Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani mjini Zanzibar kulia mjumbe wa Baraza la Chuo hicho Mohammed Said Dimwa
RAIS Mstaafu wa Zanzibar, Dk.Salmin Amour Juma katikati akizungumza na Viongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) mara baada ya kumkabidhi shahada ya Uzamivu (PHD) ya Heshima ya chuo hicho, kushoto Makamu Mkuu wa SUZA, Prof.Idris Ahmada Rai  na Mjumbe wa Baraza la Chuo Mohammed Said Dimwa, katika makaazi ya Rais huyo Migombani mjini Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.