Habari za Punde

Baharia wa Boti ya Kilimanjaro akitowa mfano wa matumizi ya Life Jact.

Mfanyakazi wa Kampuni ya Azam Marine,  akitowa maelezo kwa abiria wa boti ya Kilimanjaro 111, wakisafiri katika boti hiyo wakielekea Dar-es- Salaam, akitowa maelezo jinsi ya kutumia vifaa vya kuokolea  maisha pindi ikitokea tatizo wakati wa safari yao jinsi ya kujiokoa.
Baharia wa Boti ya Kilimanjaro 111, akionesha jinsi ya matumizi ya kifaa cha kuokolea maisha kwa kutoa mfano wa moja ya lifejack hilo kwa mtoto ambaye akiwa katika boti hiyo ikiendelea n safari yake.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.