Habari za Punde

Moto wasitisha huduma duka la Fedha


 

WAFANYAKAZI wa Duka la Kabadilishia Fedha za Kigeni la Bahari lilioko mtaa wa  Mchangani ambalo limepata ajali ya moto iliosababishwa na hitilafu za umeme, uliotokea asubuhi na wananchi kufanikiwa kuuzima moto huo kwa nguvu za wanananchi na wafanyakazi wa duka hilo,Katika moto huo hakuna Mtu ambaye amejeruhiwa katika ajali hiyo na hakukuwa na uharibifu wa mali, wakifanya usafi ili kufanya marekebisho na kuendelea na kutowa huduma kwa wateja wake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.