Habari za Punde

Kero ya Wafanyabiashara kituo cha Darajani.

 Wafanyabiashara katika kituo cha Daladala darajani wamekuwa kero kwa abiria wanaotumia kituo hicho kutokana na kuvamia eneo kubwa la kituo hicho kwa kupanga bidhaa zao chini na kwenye meza.inakuwa shida kwa watumiaji hao na magari ya abiria yanayotumia kituo hicho kama inavyoonekana hali halisi ya kituo hicho katika picha. Taasisi husika inabidi kuchukuwa hatuwa ya kuondoa tatizo hili kwa wakati muafaka ili kutowa nafasi kwa abiria kuwa katika hali ya usalama zaidi na vurugu hizo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.