Wake wa Viongozi Wakuu wakiwemo na viongozi wa taasisi za Kinamama wakinyanyua mikono juu kumuombea dua Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume.katika kaburi lake huko CCM Kisiwandui mjini Zanzibar,baada ya kisomo cha Hitma leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akiungana na waumini wa dini ya Kiislamu na Wananchi,katika kumuombe dua kwa Kisomo cha Hitma iliyosomwa leo katika Ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,wakiwemo Rais wa Tanzania Alhaj Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,(wa pili kushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) pamoja na Viongozi wengine wakimuombea dua Marehemu Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume katika Kaburi lake huko Viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaj Dk.Jakaya mrisho Kikwete,baada ya kumalizika kwa hafla ya Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu
Mzee Abeid Amani Karume,katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo
Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakisoma Hitma Kumuombea Dua Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,katika Ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya CCm Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo kila ikifika siku kama hii wananchi kwa ujumla wao hukusanyika kuomba dua kama hii
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaj Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,akisalimiana na wakuu wa Vikosi vya ulinzi alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisdiwandui Mjini Unguja
kuhudhuria katika Hitma ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wakuu wa Vikosi vya ulinzi alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja kuhudhuria katika Hitma ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee
Abeid Amani Karume
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akiweka shada la mauwa katika kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume,wakati wa Hitma na Dua iliyoombwa na wananchi wa Zanzibar huko Kisiwandui Mjini
Zanzibar leo
Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume,(kulia) akiwa na Wake wa Viongozi mbali mbali katika Hitma ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,huko Ukumbi wa CCK Kisiwandui Mjini Zanzibar Leo
Akina mama wa Kiislamu wa Mjini Magharibi Unguja wakijumuika na Viongozi wengine katika kisomo cha HItmaya Kumuombea Dua Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
SHIRIKA LA MISSION TANZANIA LALETA NEEMA YA KUWASAIDIA WATOTO WA KIKE
WALIOPATA MIMBA ZA UTOTONI
-
NA VICTOR MASANGU,KIBAHA
Jamii wakimemo walezi na wazazi wametakiwa kuhahakikisha wanaweka misingi
imara na kuwa mstari wa mbele katika kuwalinda watoto w...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment