Habari za Punde

Vijana wa Jimbo la Kikwajuni wapata Mafunzo ya Udahili kutoka Taasisi ya Fortag Lightway Solution.




Mtoa Mada ya Mafunzo ya Ajira na jinsi ya kufanya Udahili wa Kazi kwa Vijana wa Jimbo la Kikwajuni Bi. Cathennerose Barretto, akitoa mafunzo katika ukumbi wa Ofisi za Youth Icon muembe madema. yalioatandiliwa na Yuoth Icon kwa vijana wa jimbo hilo jinsi ya kutafuta kazi kupitia mitandao.
Wakufunzi wa mafunzo ya Ajira na jinsi ya kufanya udahili wa kazi wakifuatilia mafunzo hayo yliotolewa na Taasisi ya Foretag LightwaySolution. katika ukumbi wa Ofisi za Yuoth Icon muembe madema.
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Hamad  Masauni, akifunga mafunzo hayo na kutowa shukrani kwa Taasisi hiyo iliotowa mafunzo hayo kwa Vijana wa jimbo lake, na kutowa nasahazake kwa Vijana hao kuyatumia vizuri mafunzo hayo wanapokuwa katika harakati za Udahili wa Kazi.

Mkufunzo wa Youth Icon Rajab Lee, akitowa nasaha zake kwa Vijana waliopata mafunzo hayo kuyatumia vizuri na kufaidika nayo wakati wa shughuli zao za kutafuta kazi kupitia njia ya mtandao.
Mjumbe wa Bodi ya Youth Icon Khamis Mbeto, akitowa shukrani kwa taasisi hiyo na kuwataka vijana kuyatumia vizuri mafunzo hayo.

1 comment:

  1. jamaa mizigo kama hiyo halafu haijihifadhi na saumu hizi dah mnatupa mitihani

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.