Habari za Punde

Harakati za Kila Siku Chakechake.

 Wadau wa mji wa Chakechake Pemba wakiwa katika harakati za mchana kutafuta mahitaji yao katika mji huo, ni maarifuu kwa wageni wanaotembelea Pemba hufika katika mjii huu kwa mahitaji yaomkutokana na uchangamfu wake na ukarimu wa Watu wa Chakechake. 

1 comment:

  1. Nice views ya kisiwa cha marashi ya karafuu):
    ahsanteni sana kwa kutuwekea picha za zanzibar islands
    wenzenu tuko mbali tumeondoka huko miaka 15 iliyopita
    tunaona raha sana kuona picha kama hizi za nyumbani

    Mdau
    Canada

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.