Wadau wa mji wa Chakechake Pemba wakiwa katika harakati za mchana kutafuta mahitaji yao katika mji huo, ni maarifuu kwa wageni wanaotembelea Pemba hufika katika mjii huu kwa mahitaji yaomkutokana na uchangamfu wake na ukarimu wa Watu wa Chakechake.
TASAC YAENDELEZA ELIMU KWA WAVUVI
-
Na Mwandishi Wetu, Geita
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeanzisha kampeni ya kutoa
elimu ya usafiri salama wa majini katika Wilaya ya Chato ...
10 hours ago

Nice views ya kisiwa cha marashi ya karafuu):
ReplyDeleteahsanteni sana kwa kutuwekea picha za zanzibar islands
wenzenu tuko mbali tumeondoka huko miaka 15 iliyopita
tunaona raha sana kuona picha kama hizi za nyumbani
Mdau
Canada