Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Kassim Majaliwa Awasili Peramiho Kushiriki Ibada ya Jubilei ya Miaka 125 ya Uinjilishaji Jimbo Kuu la Songea
-
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Mkuu wa jimbo Kuu la
Songea, Damian Dallu alipowasili kwenye kilima cha Peramiho kuwa mgeni
rasmi ...
3 hours ago
shehe jumbe amerudi kwa mola miaka mingi tu msinasabishe na mambo ya muungano wala mapinduzi ,
ReplyDeletena ni shujaa wa kwanza na wa kweli alieweza kumkabili dikteta nyerere kudai uhuru wa znz , tumebakia kutawaliwa na vibaraka sasa , yeye alilazimishwa kujiuzulu na alikubali hilo hakujali madaraka wala utawala kwa kutetea maslahi ya znz , lakini viongozi wenzake wanaojidai wana uchungu na znz walikaa kimyaa tuliii kama maji ya mtungi mpaka leo hii
ReplyDelete