WANANCHI WAALIKWA KUFIKA BANDA LA CMSA KATIKA MAONESHO YA SABASABA KUPATA
UELEWA MASUALA YANAYOHUSU MASOKO YA MITAJI
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA)imewakaribisha wananchi
wanaofika katika Maonesho ya Biashara ya 49 ya Kimataita y...
2 hours ago
shehe jumbe amerudi kwa mola miaka mingi tu msinasabishe na mambo ya muungano wala mapinduzi ,
ReplyDeletena ni shujaa wa kwanza na wa kweli alieweza kumkabili dikteta nyerere kudai uhuru wa znz , tumebakia kutawaliwa na vibaraka sasa , yeye alilazimishwa kujiuzulu na alikubali hilo hakujali madaraka wala utawala kwa kutetea maslahi ya znz , lakini viongozi wenzake wanaojidai wana uchungu na znz walikaa kimyaa tuliii kama maji ya mtungi mpaka leo hii
ReplyDelete