Habari za Punde

Usalama Barabarani

ASKARI wa Usalama barabarani akiongoza magari katika kituo kipya cha daladala kisiwandui kupunguza msongamano wa magari katika eneo hilo huwa na msongamano mkubwa na kusababisha kero kwa watumiaji wa barabara hiyo wakati wa mchana.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.