Habari za Punde

Uharibifu wa Mazingira katika maeneo yanayochimbwa mawe




Maeneo ambayo yamechimbwa mawe na Kifusi katika Wilaya ya Micheweni Pemba, na Kampuni zinazo tengeneza Barabara kisiwani humo na kushindwa kurejesha Udongo katika mashimo hayo na kusababisha uharibifu wa Mazingira kwa Wananchi na mifugo yao. Picha na Maryam Salim -Pemba.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.