Habari za Punde

Kitengo cha Maradhi ya Macho chapata Kifaa cha Kisasa

Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZAYEDESA Mama Shadya Karume akimkabidhi  Mashine za kuchunguzia Magonjwa ya  Macho, Mkurugenzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Dk Jamal Adam Twaib.

Mashine hizo mbili za kisasa za kufanyika uchunguzi wa jicho kwa ndani zimetolewa na jumuiya hiyo ya ZAYEDESA pamoja na Taasisi ya Mr Amir Ismail wa Ali’s Child Foundation ya Canada kwa Hospitali ya Mnazi Mmojakatika  kitengo cha Macho Zanzibar 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.