MWENYEKITI wa baraza la watoto shehia ya mjini ole
wilaya ya Wete, Hafidhi Mustafa akisoma risala ya baraza lake, mbele ya rais wa
mabaraza ya watoto Tanzania nzima ambaye hayupo picha.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MRATIB wa shirika la Save The Children kisiwani
Pemba, Said Khamis Hamad, akizungumza na wajumbe wa mabaraza ya watoto kisiwani
Pemba, juu ya kutokujiingiza katika mambo ya siasa.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment