Habari za Punde

Rais Magufuli azindua rasmi daraja la Kigamboni, alibatiza jina daraja la Nyerere

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipata picha ya kumbukumbu viongozi wengine baada ya  uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiteta jambo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt Ramadhani Dau wakati wa  uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine wakitembea juu ya Daraja la Kigamboni baada ya kulizindua katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam leo Aprili 19, 2016


PICHA NA IKULU

3 comments:

  1. Kweli Tza ni nchi moja lkn. tukumbuke katiba imegawa mamlaka mbili zianazojitegemea kwa pande zetu mbili za muungano(Bara na Z'bar)

    Namahanisha kua, wakati tunashangilia maendelo ya wenzetu(Bara)tukumbuke kua na sisi tuna wajibu wa kufanya ya kwetu.

    Siku hizi tumekua na tabia tukisikia MAGUFULI amefanya jambo tunashangilia kama vile tumefanya sisi hii huenda ikatulemaza na kutufanya tujisahau.

    Tunatakiwa tutumie maendeleo ya ndugu zetu kama changa moto kwetu,

    inashangaza kuona wakati jamaa anatumbua "majipu" tunashangilia lkn ya kwetu tunayaacha!

    Wakati anatimua viongozi wazembe na wabadhirifu sisi tunashangilia kln wa kwetu tuanwafuga, wafanyabiashara wakwepa kodi wanalazimishwa kulipa sisi tunajifanya hatuna..hivi kweli tu watakatifu kiasi hicho?

    ReplyDelete
  2. Na sisi kwetu tumeweka taa za barabarani zinazotumia solar zikifika saa mbili usiku baadhi ya sehemu giza!! Ndio maendeleo!! Kama hatuacha ujiga kila siku tutashudia nchi inazidi kukosa muelekeo wa kiuchumi na wa kimaendeleo!! Siasa chafu mbele maendeleo ni ndoto

    ReplyDelete
  3. nyinyi muna bahati sana, kuisema serekali halafu comments zenu zikaoneswa hapa

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.