Habari za Punde

Timu ya Shaba ya Kojani yalala 7-1

KOCHA wa timu wa timu ya Shaba ya Kojani inayoshiriki ligii kuu ya Zanzibar Ali Dau akizungumza na mwandishi wa habari wa kituo cha redio cha Zenj FM Is-haka Mohamed Rubea mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu Zanzibar kanda ya Pemba uwanja wa Gombani ambapo Shaba illala kwa mabao  7-1  (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Attachments area

ZanziNews Copyright © 2014

Template images by Bim. Powered by Blogger.