Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein Atembelea Shamba la Kilimo cha Midimu Ukongoroni na Kuzindua Ufunaji wa Zao Hilo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akishiriki katika uvunaji wa ndimu katika shamba la Ndg Suleiman Haji mwenye kipakacha, Rais wa Zanzibar Dk Shein, akiwa katika ziara yake kutembelea miradi ya maendeleo na katika Mkoa wa Kusini Unguja. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Kilimo Mifungo na Mali Asili Zanzibar Mhe Hamad Rashid alipowasili katika mashamba ya ndimu za kumwagilia maji katika Kijiji cha Ukongoroni Mkoa wa Kusini Unguja Wilaya ya Kati. akiwa katika ziara yake Mkoani humo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri asiye kuwa na Wizara Maalumm Mhe Juma Ali Khatib (TADEA) alipowasili katika shamba hilo la kilimo cha ndimu Ukongoroni Unguja. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwapongua mkoni wananchi wa kijiji cha ukongoroni wakati akitembelea shamba la midimu katika kijiji cha ukongoroni Wilaya ya Kati Unguja.
Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Mhe Mashavu Sukwa akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar Dk Shein alipotembelea mashamba ya Kilimo cha midimu ya kumwagilia maji .
Mkulima wa Shamba la Midimu kwa njia ya kumwagilia maji Ndg Suleiman Haji akitowa maelezo ya mafanikio ya kilimo hicho cha ndimu kwa kutumia umwagiliaji maji wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Shein alipotembelea shamba hilo huko ukongoroni Wilaya ya Kati Unguja.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.