Afisa
Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Khalfan
Amour Mohamed, akimkabidhi nakala ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, Meneja
wa Kampuni ya Jufe, Said Negro, mara baada kuuliza swali, kwenye mkutano wa wazi
wa uhamasishwaji usomaji wa Katiba, ulioandaliwa na Kituo hicho na kufanyika skuli
ya Ngwachani Wilaya ya Mkoani Pemba
MWANANCHI wa
shehia Ngwachani wilaya ya Mkoani, kisiwani Pemba, akiuliza swali kwenye mkutano
wa wazi wa uhamasishwaji usomaji wa Katiba, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za
Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika skuli ya Ngwachani
WANANCHI wa
shehia ya Ngwachani wilaya ya Mkoani, wakifuatilia mkutano wa wazi wa
uhamasishwaji usomaji wa Katiba, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika jengo skuli ya Ngwachani wilayani
humo
MRATIBU wa Kituo cha Huduma Sheria Zanzibar
ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed, akiwaeleza wananchi njia sahihi za
kuisoma katiba, kwenye mkutano wa wazi wa uhamasishwaji usomaji wa Katiba,
ulioandaliwa na Kituo hicho, na kufanyika skuli ya Ngwachani,
WANANCHI wa
shehia ya Ngwachani wilaya ya Mkoani, wakifuatilia mkutano wa wazi wa
uhamasishwaji usomaji wa Katiba, ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika jengo skuli ya Ngwachani wilayani
humo(Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment