Habari za Punde

Uhamiaji Yapokea Vifaa Kutendea Kazi Kutoka Shirika la Kimataifa la IOM.

 
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala akitiliana saini ya makabidhiano ya vifaa mbalimbali vilivyotolea na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji IOM na Mwakilishi wa Shirika hilo Nchini Tanzania Dkt.Qassim Sufi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutao Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam.  . 
 Kamishna wa Jenerali wa Uhamijaji Tanzania Dkt. Anna Peter Makakala akibadilishana nyaraka za makabidhiano ya Vifaa mbali mbali vya utendaji kazi kutoka kwa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji IOM kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika hilo Nchini Tanzania Dkt. Qassim Sufu.

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt. Anna Peter Makakala akipokea baadhi ya vifaa hivyo kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la IOM Dkt Qassim Sufi.makabidhiano hayo yamefanyika katika ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya Uhamiaji Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt. Anna Peter Makakala akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea vifaa mbalimbali vya kutendea kazi vilivyotolewa na Shirika Kimataifa la IOM. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.