Habari za Punde

Mkuu wa Wilaya ya Chake Ajitambulisha Kwa Wananchi wa Shehia ya Vitongoji Pemba.

Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Rashid Hadidi Rashid, akizungumza na Wananchi wa Shehia ya Vitongoji Pemba, ikiwa ni muendelezo wa kujitambulisha kwa wananchi na kusikiliza kero mbali mbali zinazowakabili.

Mganga mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Moh'd Ali Jape, akizungumza na Wananchi wa Vitongoji Pemba, katika mkutano wa pamoja baina ya Mkuu wa Wilaya hiyo na maofisa mbali mbali juu ya utatuzi wa
kero zinazowakabili Wananchi .

Baadhi ya Wananchi wa Shehia ya Vitongoji Pemba, wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Rashid Hadidi Rashid, wakati alipokuwa na mkutano katika shehia hiyo ili kusikiliza kero mbali mbali
zinazowakabili Wananchi hao ikiwa ni utaratibu aliouanzisha kutembelea Shehia mbali mbali.

Picha na Jamila Abdallah - Maelezo Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.