Habari za Punde

Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe Rashid Juma Azindua Bodi ya Usajili wa Gazeti na Vijarida Zanzibar.

Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Rashid Ali Juma katikati kushoto akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Bodi ya Idara ya Habari Maelezo ya Usajili wa Gazeti na Vijarida katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Bodi ya Idara ya Habari Maelezo ya Usajili wa Gazeti na Vijarida Yussuf Omar Chunda akizungumza machache kuhusiana na Uzinduzi wa Bodi hio katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Unguja.
 Baadhi ya Wajumbe wa Bodi waliohudhuria katika  Uzinduzi wa Bodi ya Idara ya Habari Maelezo ya Usajili wa Gazeti na Vijarida katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Unguja
Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Dk,Juma Mohammed Salum kushoto akitoa hotuba ya makaribisho katika hafla ya Uzinduzi wa Bodi ya Idara ya Habari Maelezo ya Usajili wa Gazeti na Vijarida katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Unguja

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.