Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Afungua Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar leo Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Juma Mabodi alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akielekea katika jengo la Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ukiwa chini ya Uwenyekiti wake akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar. Dk. Abdallah Juma Mabodi.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Maofisa wa Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar baada ya kuwasili katika viwanja hivyo leo kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Maofisa wa CCM Afisi Kuu Zanzibar alipowasili katika viwanja hivyo kuhudhuria Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo kuhudhuria Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar. 
Wajumbe wa Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakibadilishana mawazo kabla ya kuaza kwa Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar leo. 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Juma Mabodi wakiwa wamesimama baada ya kuingia katika ukumbi wa mkutano huo Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Wajumbe wa Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa wamesimama wakati Makamu Mwenyekiti akiingia katika Ukumbi wa Mkutano kwa ajili ya kuaza kwa Kikao hicho leo, kilichofanyika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. Chini ya Mwenyekiti wake Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Juma Mabodi akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,kufungua mkutano huo wa kwanza wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar. baada ya kumalizika kwa chaguzi cha Chama Cha Mapinduzi mwaka jana Mkoani Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo, 4-1-2018. kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza katika Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar katika ukumbi wa mkutano Ofisi Kuu ya CCM kisiwandui leo akifungua mkutano huo kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Juma Abdallah Mabodi. 
Wajumbe wa Mkutano wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Znzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.