Habari za Punde

Wageni wa Pasaka wa Wazee Arusha Sports Club Yakaribishwa Mkoa wa Mjini Magharibi na Wenyeji Wao BLW. Sports Club.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguuja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud akisalimiana na Mlezi wa Timu ya Wazee Arusha Sports Club Mzee Kasore, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Z-Ocean Kihinani Zanzibar kuhudhuria hafla ya chakula maalum walioandaliwa wegeni hao wa Tamasha la Pasaka kutoka Mkoani Arusha, kuhudhuria Tamasha hilo hapa Zanzibar kwa mualipko wa Wenyeji wao Timu ya Baraza la Wawakilishi Sports Club Zanzibar.  
Meneja wa Timu ya Wawakilishi Sports Club Zanzibar Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe. Nassor Jazira,akitowa maelezo na kuwakaribisha wageni wao baada ya kuwasili Zanzibar kwa ajili ya michezo ya Tamasha la Pasaka, Timu hizo hubadilisha kutembeleana kila mwaka ifikapo siki hii. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.