WAZIRI wa Nchi Ofisi
ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mohammed Aboud Mohammed akizungumza na
viongozi mbali mbali wa Serikali Wilaya ya Wete, wakiwemo masheha na Viongozi
wa Chama Wilaya huko katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, juu ya
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania Tasaf
WAZIRI wa Nchi Ofisi
ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mohammed Aboud Mohammed akizungumza na
viongozi mbali mbali wa Serikali Wilaya ya Wete, wakiwemo masheha na Viongozi
wa Chama Wilaya huko katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, juu ya
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania Tasaf.
MKUU wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba Omar Khamis Othaman, akizungumza na viongozi wa Chama cha
Mapinduzi Wilaya ya Wete na masheha wa Wilaya hiyo, huko katika kikao cha
Pamoja juu ya mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania Tasaf.
VIONGOZI mbali mbali
wa Serikali Kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa makini waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed, wakati alipokuwa
akizungumza na masheha na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Wete, juu
ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania Tasaf
MASHEHA na Viongozi
wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Wete, wakimsikiliza kwa makini Waziri wa nchi
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohammed Aboud, katika kikao cha
pamoja juu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania Tasaf.
SHEHA wa Shehia Fundo Khamis Abeid, akichangia mada katika kikao
cha Pamoja cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, huko
katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, juu ya Mfuko wa Maendeleo ya
Jamii Tanzania Tasaf.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
No comments:
Post a Comment