Habari za Punde

Wananchi Zanzibar Wakiwa Katika Harakati za Kutafuta Futari Katika Soko Kuu la Mwanakwerekwe Zanzibar leo.

 Mfanyabiashara katika Soko Kuu la Mwanakwerekwe Zanzibar akiwa katika harakati za kupanga mafungu ya viazi vitamu na majimbo katika Soko la Mwanakwerekwe, kama alivyokutwa na mpiga picha wetu akiwa katika harakati hiyo, fugu moja anauza kati ya shilingi 2000/= na 5000/=. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.