Habari za Punde

Mwakilishi wa Tunguu kuhudhuria Mkutano wa 49 wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola

Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mabunge  ya  Jumuiya  ya Madola  Tawi  la Zanzibar  Mhe Simai  Mohammed  Said akizungumza  na Spika  wa  Baraza  la  Wawakilishi Mhe  Zubeir  Ali  Maulid  alipokwenda  kumuaga  kabla ya kuanza  safari  ya kwenda  Botswana kuhudhuria  mkutano  huo  wa Mabunge  ya Jumuiya  ya Madola

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.